MUUNGANO CUP HII LEO

 MUUNGANO CUP 2026:

Hatua ya robo fainali Kombe la Muungano kuendelea leo Jumatano katika dimba la New Amaan
Saa 1:15 usiku, KVZ kukipiga na AzamFC.
mshindj wa mechi anaenda kukutana na Yanga SC katika hatua ya nusu fainali.
Je, ni KVZ ama AzamFC nani kumfata Yanga nusu fainali?


Post a Comment

Previous Post Next Post