Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na TAMISEMI kuhakikisha Mama Lishe na Baba Lishe wanatengewa maeneo maalum nchini kwa ajili ya kufanya shughuli zao kwa mazingira bora na salama.
Tags:
HABARI NA MATUKIO
SHINYANGA ONE MEDIA
Shinyanga One Media ni chombo cha habari kinachojikita katika kutoa taarifa sahihi, kwa wakati na zenye kugusa jamii moja kwa moja. Kwa kuzingatia misingi ya uwazi, ukweli na uwajibikaji, tunahakikisha kila sauti inasikika bila upendeleo. Kupitia kaulimbiu yetu “Sauti ya Wengi”, tunalenga kuwa daraja kati ya wananchi na taarifa muhimu zinazowahusu, tukichochea maendeleo na uelewa ndani ya jamii.

Post a Comment