SHINYANGA ONE MEDIA

Sauti ya Wengi | The People’s Voice

MUHTASARI (PROFILE)

Shinyanga One Media ni jukwaa  huru la habari za kidijitali lenye makao  yake mkoani Shinyanga, Tanzania, liki lenga kuunganisha jamii, viongozi na wataalam kupitia mawasiliano ya haraka, shirikishi na yenye tija.

Kupitia matumizi ya teknolojia na mitandao ya kijamii, jukwaa hili lina  kuza sauti za wananchi, linachochea mijadala ya maendeleo, nakuhakikisha  upatikanaji wa taarifa sahihi, kwa wakati na kwa weledi.

Kwa kauli mbiu ya“Sauti  ya Wengi,” Shinyanga  One  Media ni daraja la kuunganisha jamii na mamlaka, likikuza uwazi, uwajibikaji na ushiriki wa wananchi katika maendeleo.


HISTORIA FUPI

Shinyanga One Media ilianzishwa mwaka 2026 kama jukwaa la habari za kidijitali lenye lengo la kuziba pengo la mawasiliano kati ya wananchi na viongozi, hasa katika enzi ya kasi ya  teknolojia  na mitandao ya kijamii.

Jukwaa   hili limejengwa juu ya uzoefu mpana katika tasnia ya habari, liki lenga kutoa maudhui yenye ubora, kuhamasisha ushiriki wa jamii, nakuchochea maendeleo kupitia taarifa sahihi.

Shinyanga One Media imepata leseni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa ajili ya uzalishaji na usambazaji wa maudhui ya kidijitali

DIRA

Kuwa jukwaa linaloongoza la habari za kidijitali  linalowezesha jamii kupaza sauti na kuchochea mabadiliko chanya.

DHIMA

Kutoa taarifa sahihi na kuhamasisha ushiriki wa jamii kupitia maudhui ya kitaalamu na majukwaa shirikishi.


MAENEO YA KAZI

  • Habari za kijamii, kiuchumi na kisiasa
  • Makala za uchambuzi na elimu
  • Majukwaa ya mijadala ya jamii
  • Michezo na burudani yenye maudhui ya kujenga
  • Mafunzo kwa waandishi wa habari

MALENGO MAKUU

  • Kuimarisha mawasiliano kati ya jamii na viongozi
  • Kukuza uwazi na uwajibikaji
  • Kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi
  • Kuongeza ushiriki wa wananchi katika maendeleo

MISINGI YA UTENDAJI

Uadilifu | Ukweli | Uwajibikaji | Uwazi | Uzalendo


UONGOZI

  • Mkurugenzi Mtendaji (CEO)
  • Mhariri Mkuu na Timu ya Uhariri
  • Bodi ya Washauri

WALENGWA

Jamii kwa ujumla: vijana, wanawake, wanaume, taasisi, viongozi na wataalam.


USHIRIKIANO

Tuna  shirikiana na wadau wa maendeleo, mashirika ya kijamii, taasisi za serikali, vyombo vya habari na wataalam wa sekta mbalimbali.


MAWASILIANO

📧Baruapepe: shinyangaonemedia@gmail.com
📞Simu: +255 762 004 229
🌐Tovuti: www.shinyangaonemedia.online
📱Mitandaoyakijamii: @shinyangaone


HITIMISHO

Shinyanga One Media ni zaidi ya  chombo cha habari—ni jukwaa la jamii kusikika. Tunatoa taarifa sahihi, kwa wakati, na zenye kugusa maisha ya watu, tuki hakikisha kila sauti ina nafasi.


SHINYANGA ONE MEDIA

The People’s Voice

PROFILE

Overview

Shinyanga One Media is an independent digital media platform based in Shinyanga, Tanzania, East Africa, dedicated to bridging the communication gap between communities, leaders, and experts.

Leveraging digital technologies and social media, the platform amplifies citizen voices, promotes inclusive dialogue, and ensures timely access to accurate and reliable information.

Guided by its tagline, “The People’s Voice,” Shinyanga One Media serves as a vital link between the public and decision-makers, fostering transparency, accountability, and active citizen participation in development.


Background

Established in 2026, Shinyanga One Media was created in response to the growing need for fast, inclusive, and interactive communication platforms in the digital era.

The platform builds on extensive experience in the media sector, with a strong focus on community engagement, professional journalism, and impactful storytelling.

Shinyanga One Media is licensed by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) to produce and distribute digital content.


Vision

To become a leading digital media platform that empowers communities, amplifies voices, and drives positive social transformation.


Mission

  • To provide accurate, credible, and professionally produced information
  • To enhance public understanding through educational and analytical content
  • To promote inclusive dialogue and community-driven solutions
  • To deliver engaging sports and entertainment content
  • To strengthen media professionalism through training and capacity building

Strategic Focus Areas

  • News and current affairs (social, economic, and political)
  • Public dialogue and civic engagement platforms
  • Educational and awareness content
  • Entertainment and sports programming
  • Media training and capacity development

Core Objectives

  • Strengthen communication between communities and leaders
  • Promote transparency and accountability
  • Improve access to reliable development information
  • Encourage citizen participation in governance and development

Core Values

Integrity | Accountability | Truth | Transparency | Patriotism


Governance Structure

  • Executive Director (CEO)
  • Editorial Team
  • Advisory Board

Target Audience

Shinyanga One Media serves a diverse audience, including youth, women, men, institutions, leaders, and professionals across various sectors.


Partnerships

The platform collaborates with development partners, civil society organizations, government institutions, media organizations, and subject-matter experts.


Value Proposition

  • Amplifies underrepresented voices
  • Enables real-time information sharing and feedback
  • Strengthens civic engagement and public participation
  • Promotes accountability through media visibility
  • Builds capacity within the journalism sector

Contact Information

📧 Email: shinyangaonemedia@gmail.com
📞 Phone: +255 762 004 229
🌐 Website: www.shinyangaonemedia.online
📱 Social Media: @shinyangaone


Closing Statement

Shinyanga One Media is more than a media platform—it is a voice for the community. By delivering accurate, timely, and impactful content, the platform ensures that every voice matters and contributes to sustainable development.

 

Post a Comment

0 Comments