| Kamanda wa polisi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga SP. Ester Gesogwe akizungumza wakati wa kukabidhi mchango wa mifuko 16 ya saruji iliyotolewa na Jeshi la polisi wilayani humo kwa jeshi la Sungusungu Kata ya Maganzao kwa ajili ya kuunga mkono ujenzi wa jengo la ofisi Oktoba 28,2026 |
| Mkuu wa Polisi Kata ya Maganzo Afande Issa Maftah |
| Polisi Kata ya Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Ins. Salvatory Sakondo akisoma taarifa ya Kata hiyo |
Diwani wa Kata ya Maganzo wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, Mhe. Hamza Tandiko
Mtendaji wa Kata ya Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Stephen Yalomba
Mtemi wa sungusungu Kata Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Kulwa Paul
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya ya Kishapu (DTO), Inspector Rose R. Mbwambo
Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Kishapu, SP Chacha M. Mwita
Kijana Alexander Amos mkazi wa Magazno aliyeamua kubadilika kutoka kwenye tabia mbaya za uhalifu na sasa akiahidi kuwa balozi wa amani
Msingi wa jengo hilo lenye vyumba viwili vya ofisi, ukumbi wa mikutano na matundu nane ya vyoo, likiwa na makadirio ya gharama ya Shilingi milioni 33.5
Mifuko 16 ya iliyotolewa na Jeshi la Polisi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, ikiwa ni kuunga mkono ujenzi wa Ofisi ya Sungusungu Kata ya Maganzo
0 Comments