Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura, aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.






0 Comments