CP HAMDUNI MKUU MPYA WA MKOA WA MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa mikoa, ambapo aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga CP Salum Rashid Hamduni, ameteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza.

Post a Comment

0 Comments